KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, January 29, 2014

Steven Gerrard anakaribia kuwa meneja kamili

Kiungo wa Liverpool Steven Gerrard ametanabaisha juu ya mipango yake ya baadaye ya kuwa meneja wakati atakapotundika daruga.

Nahodha huyo wa Liverpool alifunga goli la kwanza katika mchezo wa jana usiku na kuisaidia timu yake kuichapa Everton katika 'Merseyside derby' kwa mabao 4-0 .

Gerrard, ambaye ana jumla ya michezo 653 aliyoichezea klabu yake yenye maskani yake makuu  Anfield yuko tayari sasa kuelekea katika shughuli za umeneja wakati huu akiwa ana karibia kustaafu.
 
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 33 amenukuliwa akisema
“Nimeanza mafunzo yangu hivi karibuni na ninaelekea katika hatua nzuri kuwa meneja lakini bado kuamua.

No comments:

Post a Comment