David Luiz atinga mazoezini PSG kwa mara ya kwanza na kuungana na Wa-Brazil Silva na Moura
 |
Wote wakitabasamu: David Luiz anaonekana mwenye furaha kukutana na wachezaji wenzake wa PSG ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu kujiunga na klabu hiyo akitokea Chelsea
David Luiz ameanza mazoezi na klabu yake mpya ya PSG kwa mara ya kwanza baada ya kurejea kutoka katika mapumziko marefu ya baada kumalizika kwa fainali ya kombe la dunia zilizo fanyika nchini Brazil.
Mlinzi huyo ameonekana akiwa na hamu ya hali ya juu akiungana na wenzake wa kikosi cha Brazil Thiago Silva na Lucas Moura katika mazoezi yao kwa mara ya kwanza kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya nchini Ufaransa.
Mlinzi huyo wa Brazil alinunuliwa na kigogo hicho cha Ufaransa kwa thamani ya juu ya rekodi ya klabu hiyo kiasi cha pauni milioni £50 akitokea Chelsea kabla ya kuanza kwa fainali ya kombe la dunia.
Mazingira mapya: Luiz akipiga uwanja wa mazoezi wa PSG wakati akiripoti kazini ofisi mpya kwa mara ya kwanza.
Familia ya Brazil imekuatana Lucas Moura na pale Maxwell
|
No comments:
Post a Comment