Pichani ni mkongwe Mao Mkami Ball Dansa akifanya yake kwa mbali ni Maalim Saleh 'Romario' |
Pichani ni mratibu wa bonanza Richard Msungu |
LILE BONANZA kubwa linalofanyika kila mwisho wa mwezi linalohusisha
wanasoka wa zamani waliowahi kutamba katika medani ya soka nchini
limefanyika leo katika viwanja vya shule ya msingi Buguruni ambapo kwa
mwezi huu lilikuwa la lengo la kumuenzi marehemu Gebo Peter.
Akizungumza na MWAISABULA BLOGU mratibu wa Bonanza ambaye pia ni kiongozi wa Uhuru Veteran Dr Richard Msungu amesema kuwa Bonanza la mwezi huu limejumuisha timu 8 tofauti na awali ambavyo lilikuwa likishirikisha timu 5.
Pia Msungu alitoa wito kwa maveterani wengine kujitokeza kwa wingi katika kushiriki katika Mabonanza kwani ni nafasi nzuri yao wao kujenga afya zao.
Bonanza hilo limedhaminiwa na hoteli ya LEKAM ROYAL LODGE & PUB iliyopo maeneo ya Buguruni.

Pichani ni baadhi ya wakongwe wakiongozwa na Kenny Mwaisabula (mzazi) |
No comments:
Post a Comment