KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, January 31, 2013

FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA: IVORY COAST 2 ALGERIAA 2.

 Leading the charge: Didier Drogba, the Ivory Coast captain, was back to his best as he inspired a comeback from two down against Algeria
Ivory Coast inayopewa nafasi kubwa ya kutwaa taji la mataifa ya Afrika kwa mwaka imefakiwa kwenda sare ya mabao 2-2 baada ya kufanikiwa kusawazisha mabao yote mawili ya Algeria na kuongoza kundi D.
Mabao yote mawili yamepatikana ndani ya dakika 16 za mchezo baada ya mabao ya 6 kupata bao la uongozi kunako dakika ya 64 likifungwa na Sofiane Feghouli aliyeingia uwanjani kuchukua nafasi ya Ryad Boudebouz aliyekosa penati katika kipindi cha kwanza.
Dakika 6 baadaye Algeria waliandika bao la pili lililofungwa na Hilal Soudana kwa kichwa baada ya kupokea pasi ya Feghouli kutoka wingi ya kulia.
Didier Drogba, the Ivory Coast captain, was back to his best as he inspired a comeback from two down against Algeria
Opening goal: Algeria's Sofiane Feghouli (left) opened the scoring after 64 minutes
Goli la kwanza: Sofiane Feghouli (kushoto) akishangilia baada ya kufunga goli la uongozi la Algeria dakika ya 64.
Ivory Coast ambao walikuwa tayari wameshafuzu kabla ya mchezo huo walifanikiwa kuandika bao la kwanza kunako dakika ya 77 likifungwa na Didier Drogba kwa kichwa baada ya kuwazidi kuruka walinzi wa Algeria na kuupiga mpira kwa kichwa na kuzama wavuni.
Ivory Coast walisawazisha bao hilo kupitia kwa Wilfried Bony
Back in form: Drogba gave a much better account of himself against Algeria having struggled for form in the opening two gamesClose combat: Soudani tries to squeeze the ball past Ivory Coast goalkeeper Daniel Yeboah
Mad for it: This Ivory Coast supporter shows where his loyalties lie

No comments:

Post a Comment