Rais wa Kalunde Band, Deo
Mwanambilimbi akikata keki kwa pamoja na Meneja wa benki hiyo, Deborah Nyangi
ambaye pia ni Muasisi wa
Band hiyo.
Deborah Nyangi akiandaa keki
kwa ajili ya kuwalisha baadhi ya wadau. Kushoto ni Rais wa Band hiyo, Deo
Mwanambilimbi na Mwapani Yahya
Meneja wa Kalunde Band,
Deborah Nyangi akiandaa akimlisha kipande cha keki, Rais wa Band hiyo, Deo
Mwanambilimbi wakati wa sherehe za kutimiza miaka saba tangu kuzaliwa kwa band
hiyo.
Deo kama anasema;
Tumetimiza miaka saba na tunasonga mbele.
Rais wa Kalunde Bande, Deo
Mwanambilimbi akimlisha keki, Meneja wa band hiyo, Deborah Nyangi wakati wa
sherehe ya kutimiza miaka saba tangu kuanzishwa kwa bendi hiyo.
Kiongozi wa Wanamuziki, Bob
Rudala akilishwa keki.
Wanamuziki wa Kalunde Band
wakiwajibika jukwaani wakati wa Valentine Day.
Othman Amri
King Majuto - Bass Guitar na Rajab
Nyunyusa - Tumba.
Kundi zima la bendi hiyo kama ifuatavyo.
Meneja wa
Band, Deborah Nyangi.
Frola Bambucha.
Queen Vero (kushoto) na Flora Bambucha wakicheza sambamba na Kalunde Band wakati wa sikukuu ya valentine iliyokwenda sambamba na band hiyo kutimiza miaka saba.
Siku ya Valentine ni muhimu kwa Kalunde kwani ndiyo siku ambayo band hii ilianzishwa. Band ilianzishwa tarehe 14.02.2006. Hapa rais wa Band hiyo, Deo Mwanambilimbi akiwajibika jukwaani jana katika kiota cha maraha cha Trinity Oysterbay.

HAPPY
BIRTHDAY
Sherehe ya kutimiza miaka saba ya
Kalunde Band ilikwenda sambamba na sherehe za siku ya wapendanao ambapo
mashabiki wake walipata barudani ya kukata na mundu katika kiota cha maraha cha
wapendanao cha Trinity maeneo ya Oysterbay jijini Dar es salaam karibu na
Ubalozi wa Uganda.
Kundi zima la bendi hiyo kama ifuatavyo.
Deo Mwanambilimbi - Rais wa Band - Muasisi wa
Band
Debora Nyangi - Meneja -
Muasisi
Bob Rudala - Kiongozi wa
wanamuziki
Bony Kaprobo - Solo Guitar - Band Stage
Leader
Shehe Mwakichui - Keyboard Player / Mwimbaji -
Muasisi wa band
Edson Allen (Eddy) - Solo
Guitar
Othman Amri Majuto - Bass
Guitar
Rajab Nyunyusa - Tumba
Alfa - Drummer
Mackie Fanta - Mwimbaji
Devotha, Mwapwani Yahya, Shila, Amina, wote hawa ni
waimbaji
No comments:
Post a Comment