| Mshambuliaji wa Azam Brian Umomy akimkimbia beki wa Al-Nasir ya Sudan Jacob Osuru kwenye mchezo wa kombe la shirikisho uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana jioni. |
| Mchezaji wa Azam Kipre Tchetche akikwatuliwa na mchezaji wa beki wa Al-Nasir Joseph Odongi kwenye mchezo wa kombe la shirikisho uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. |
| Abdi Kassim Babi akisujudu baada ya kuandika bao la kwanza la Azam katika mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Al Nasri ya Sudani Kusini. |
| Abdi kasim akituliza mpira. |
| Abdi kassima akipongezwa na wachezaji wenzake wa Azam baada ya kufunga goli la kwanza la Azam dhidi ya Al Nasri ya Juba Sudan Kusini. |
| Umony wa Azam akimpongeza Babi kwa kumshika kichwa baada ya kufunga goli. |
No comments:
Post a Comment