KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, October 8, 2012

YANGA HOVYO HOVYO KAGERA


Kwa mara nyingine tena mabingwa wa kombe la kagame Yanga hii leo wameshindwa kuwafurahisha mashabiki wake baada ya kukubali kulambishwa sukari kilo moja na kuvembewa katika moja ya michezo ya ligi kuu soka Tanzania Bara.

Yanga imekubali kibano cha bao 1-0, bao ambalo liliwekwa kimiani na Temi Felix kunako kipindi cha pili.

Huu hi mchezo wa pili kwa Yanga kufungwa tangu kuanza kwa ligi hiyo, ambapo katika mchezo wa kwanza Yanga ilikubali kufungwa mabao 3-0 na Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa katika uwanja Jamhuri mkoani Morogoro.

Ratiba michezo ijayo 
10/10/2012 
 Kagera sugar vs JKT Ruvu Kaitaba
Toto Afrika vs Yanga CCM Kirumba

No comments:

Post a Comment