KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, June 12, 2013

MSIMU WA MAPUMZIKO YA KIANGAZI KWA WACHEZAJI NA MAKOCHA, NANI YUKO WAPI NA NANI NA ANAFANYA NINI .............................FUATANA NA MTANDAO HUU KILA SIKU HUYU HAPA NI GARETH BALE.

 Gareth Bale came face to face today with Optimus Prime, leader of the Autobots, and Bumblebee

Baada ya msimu mrefu wa ligi dunia ya soka huwa inapumzika ambapo wachezaji na makocha wao husauhau kwa muda mikiki mikiki ya ligi hizo na kuelekea sehemu mbalimbali dunia kwa ajili ya mapumziko hasa kipindi hiki cha majira ya kiangazi.

Rockersports kupitia mtandao wa Sportsmail unaendelea kukupatia picha na taarifa za mastaa hao wakiwa katika Holiday kuanzia Las Vegas, mpaka Dubai, Ibiza (na kurudi Las Vegas) kila siku.
 
GARETH BALE (FLORIDA, US)
Einga wa Tottenham Gareth Bale yeye ameelekea Universal Orlando Resort. Bale, ambaye amekuwa katika mawindo makubwa ya msimu wa uhamisho wa majira ya kiangazi na klabu kama Real Madrid, amekuwa akifurahia kipindi hiki mbele ya Universal Studios Florida sehemu mpya ambayo kwasasa imekuwa kivutio mbele ya Transformers The Ride - 3D.
Rise of the machines: It takes two Transformers to handle Gareth Bale at Universal Orlando Resort
It takes two Transformers to handle Gareth Bale at Universal Orlando Resort.

Gareth Bale
Tottenham Hotspur star Gareth Bale

On me head: Bale shows off his ball skills to locals

Gareth Bale came face to face today with Optimus Prime, leader of the Autobots, and Bumblebee
Thrills: Bale on Cheetah Hunt at Busch Gardens, Tampa
Thrills: Bale on Cheetah Hunt at Busch Gardens, Tampa, Florida

LEIGHTON BAINES (Los Angeles, US)
Nyota wa kimataifawa England Leighton Baines anaonekana kuwa katika lindi la mawazo katika kipindi hiki cha tetesi za uhamisho na inavyoonekana ni kwamba mtoto wake mkubwa atakuwa ni mwenye furaha kumuona baba yake akiichezea Chelsea! 
Mlinzi huyo wa pembeni wa Everton ambaye alikuwa akihusishwa na kueleka Manchester United, katika picha hapo chini anaonekana akishika kichwa akiwa peke yake huko Santa Monica Beach ilhali watoto wake wakichezea mchanga.
 
Hata hivyo alikuwa akifurahia kwa pamoja mapumziko hayo akiwa na familia yake katika jiji la Los Angeles, huku jezi yenye namba na jila la 'Hazard' wa Chelsea ikiwa imevaliwa na mtoto wake mkubwa , ni wazi kujiunga kwake Stamford Bridge halitakuwa jambo la kushangaza ndani ya familia ya Baines.
Cheer up: Everton defender Leighton Baines had his head in his hands as he sat alone on Santa Monica Beach
Cheer up: Everton defender Leighton Baines had his head in his hands as he sat alone on Santa Monica Beach
EXCLUSIVE: England star Leighton Baines looks like he has a lot on his mind amid transfer rumours but it seems his eldest son would love a move to Chelsea!
baines

Blues brothers: Baines has been linked with Man United but a move to Chelsea would prove to be more popular.

ALAN SHEARER NA STEVE BRUCE (Saint Tropez, France)
Mchezaji wa zamani na mkonwe wa Newcastle ambaye pia ni mtangazaji wa Match Of The Day Alan Shearer akiwa na swahiba yake Geordie Steve Bruce, meneja wa timu ya vijana wapya wa Premier League Hull City, wakiwa sambamba na wake zao wameonekana katika viunga vya watu matajiri na maarufu vya  Saint Tropez.
 Shearer ametanabaisha kuwa kauli mpya ikiwa imeandikwa katika T-shirt yake 'The past is what bonds us, the future leads us' bila ikileta maana ya  'they should have went on and won the game.'
Alan Shearer and wife Lainya enjoying the night with Steve Bruce and friends in a private Club in Saint Tropez
Alan Shearer T shirt

Alan Shearer and Steve Bruce
All aboard: Steve Bruce (left) and Shearer enjoy a night out in Saint Tropez
Alan Shearer and Steve Bruce

JONNY EVANS (Barbados)
Jonny Evans aliungana na mlinzi Hull City Alex Bruce katika ziara ya kipindi cha kuendelea kuponya maumivu yake ya mguu aliyoyapata hivi karibuni.
Nyota huyo wa kimataifa wa Ireland ya Kaskazini ambaye aliungana na mtangazaji wa televisheni ya MUTV Helen McConnell mapema mwezi huu huko Barbados akiwa Bruce.
Line up: Jonny Evans, Alex Bruce and their wives are spotted on the beach in Barbados
Line up: Jonny Evans, Alex Bruce and their wives are spotted on the beach in Barbados
MUTV presenter Helen McConnell
MUTV presenter Helen McConnell

All white: MUTV presenter Helen McConnell

No comments:

Post a Comment