KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 28, 2013

Bale kupigwa faini na klabu yake.

On his way: Gareth Bale has skipped Tottenham training for the second day as he seeks a move to Madrid
On his way: Gareth Bale has skipped Tottenham training for the second day as he seeks a move to Madrid
Furious: The Spanish press reported Bale is unhappy at the delay in his world record £86million move
Furious: The Spanish press reported Bale is unhappy at the delay in his world record £86million move

 Andre Villas-Boas ametanabaisha kuwa mshambuliaji wake Gareth Bale atapigwa faini kutokana na mshambuliaji huyo kukwepa mazoezi kwa siku mbili huku pia meneja huyo wa Tottenham akikerwa zaidi na tabia ya mshambuliaji huyo.

Nyota huyo wa kimataifa wa Wales amekuwa katika hali ya kusubiri kukamilika kwa mpango wake wa kujiunga na Real Madrid kwa uhamisho wa rekodi ya dunia ya pauni milini £86.

Alishindwa kujiunga na wenzake katika mazoezi uwanja wa Enfield complex hii leo ikiwa ni siku moja baada ya kukutana na wakala wake jijini London.
'Lakini pengine anajaribu kusukuma kasi ya mapango wake wa uhamisho lakini pia ni juu ya klabu kuamua kama kosa hilo litahitaji adhabu.

Uhamisho wa Bale kuelekea katika mji mkuu wa Hispania umefikia katika hatua za mwisho, mwishoni mwa juma ambapo mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy alirejea kutoka Madrid alikokuwa na mazungumzo na wakala wa Bale Jonathan Barnett na mkurugenzi wa soka wa Tottenham  Franco Baldini wakati wa mchezo baina ya Spurs ya Swansea City ambao Spurs waliibuka na ushindi wa bao 1-0 ambapo imeelezwa mpango huo ulikamishwa.

Present and correct: Tottenham trained on Wednesday but Bale was absent once again
Present and correct: Tottenham trained on Wednesday but Bale was absent once again
Present and correct: Tottenham trained on Wednesday but Bale was absent once again

No comments:

Post a Comment