KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 28, 2013

Bado michezo mitatu tu kwa Luis Suarez kumaliza adhabu ya kusimama michezo 10.

Still in red: Luis Suarez scored behind closed doors against port Vale
Luis Suarez akishangiliwa baada ya kufunga goli katika uwanja ambao haukuwa na mashabiki dhidi ya port Vale
Up you get: Suarez won't need any picking up when his season starts next month
Still in red: Luis Suarez scored behind closed doors against port Vale
Watching Brendan: Liverpool manager Rodgers sits and monitors his star striker
Breeze: Former Premier League referee Mark Halsey officiated
Mwamuzi wa zamani wa ligi kuu alikuwa akipuliza kipenga huyu  ni Mark Halsey kama anavyoonekana pichani juu.

MICHEZO ALIYIKOSA WAKATI WA ADHABU NI MICHEZO 7


Newcastle (a) April 27: Won 6-0
Everton (h) May 5: Drew 0-0
Fulham (a) May 12: Won 3-1
QPR (h) May 19: Won 1-0
Stoke (h) Aug 17: Won 1-0
Aston Villa (a) Aug 24: Won 1-0
Notts County (h) Aug 27: Won 4-2


Michezo inayosubiriwa kabla ya kuanza upya kuitumikia timu yake
Man United (h): Sept 1
Swansea (a): Sept 16
Southampton (h): Sept 21

Mchezo wa kwanza anaotazamiwa kuanza kucheza ni wa mzunguko wa tatu wa michuano ya Capital One Sept 23.

Ni zaidi ya mwezi sasa tangu aanze kuitumikia adhabu hiyo ambapo michezo mitatu imesalia kabla ya kurejea dimbani katika adhabu yake ya kusimama michezo 10 hii ni adhabu ianayotokana na kumngata mlinzi wa Chelsea Branislav Ivanovic.

!
e
e
Hal

Let me see! A young Liverpool fan wants to catch a glimpse of Suarez

No comments:

Post a Comment