Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Birmingham Christian Benitez amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ecuador international, ambaye alijiunga na klabu ya El Jaish Sports Club ya Qatar, alikuwa kwa mkopo katika klabu ya Birmihnham katika msimu wa 2009/10 yenye mskani yake katika viunga vya uwanja wa St Andrews akitokea katika klabu ya Santos Laguna ya Mexico.
Benitez, ambaye aliichezea nchi yake ya Qatar jumla ya michezo 58 na kuichezea El Jaish katika mchezo walioshinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Qatar Sports Club Jumapili.
Benitez fact file
- Alizaliwa May, 1986
- Nafasi ni mshambuliaji
- Rekodi ya klabu: Alifunga jumla ya mabao manne alipokuwa kwa mkopo katika klabu ya Birmingham mwaka 2009-10. Lakini alijiwekea nafasi nzuri ya kufunga magoli alipokuwa na klabu ya Santos Laguna ya Mexico na Club America, na hivi karibuni alikuwa katika kiwango kizuri katika klabu ya nchini Qatar ya El Jaish.
- Medani ya kimataifa: Akifuata nyayo za baba yake kwa kuiwakilisha timu ya taifa ya Ecuador, akiichezea jumla ya michezo 58 akiichezea pia katika fainali ya kombe la dunia fainali za kombe la dunia mwaka 2006.
El Jaish ambayo ilimsaini Benitez, ambaye anajulikana zaidi kama 'Chucho',
July 6, lakini taarifa za kifo chake haziko wazi
No comments:
Post a Comment