KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 23, 2014

Chelsea waanza msimu wakiwa na wakali watatu wa Liga wa msimu uliopita huko Austria

Usajili wa Chelsea wa kiangazi kutoka kushoto Diego Costa, Cesc Fabregas na Filipe Luis in Austria
Chelsea imefanya usajili wa kufa mtu msimu huu wa uhamisho wa kiangazi wakichukua vifaa vya kutoka ligi kubwa barani Ulaya La Liga akiwemo, Diego Costa na Filipe Luis wakitokea Atletico Madrid na kiungo Cesc Fabregas kutoka Barcelona na sasa klabu hiyo imeanza maandalizi ya kueleka kwenye msimu mpya huko Austria.
Ongezeko la wakali hao watatu umeigharimu klabu hiyo kiasi cha pauni milioni £80 na kuungana na wakali wengine 26 huko Waldarena.Down to work: Costa (centre) is challenged by Marco van Ginkel as Fabregas (left) looks on in Velden

DiegoCosta (katikati) akikabiliana na Marco van Ginkel na Fabregas

No comments:

Post a Comment