KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, October 12, 2013

Real Madrid yakanusha kuwa Gareth Bale ana sumbuliwa na mgongo na kwamba wakati wa vipimo vya wakati wa usajli vilidhihirisha hilo.

Real Madrid imekanusha taarifa zilizo andikwa na gazeti la Marca kuwa mshambuliaji wake ghali kuliko wote duniani Gareth Bale amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya mgongo ya muda mrefu.
Bale ameanza kuichezea Los Blancos kwa thamani kubwa ya uhamisho ya pauni milini 85 akitokea Totternham.

Madrid kupitia taarifa yao imesema
"Taarifa zilizo ripotiwa zikisema mchezaji wao ana maumivu ya mgongo ya kudumu 'slipped disc' kupitia uti wa mgongo yaani 'vertebrae' si za kweli,".
Marca lilidai kuwa kipimo cha MRI scan kilicho fanyika Septemba wakati wa utambulisho wa Bale klabuni Bernabeu vilionyesha kuwa mchezaji huyo kuwa ni mwenye matatizo ya slipped disc yaani mgongo kupitia L5 -S1vertebrae na L4 -L5.

No comments:

Post a Comment