KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, October 12, 2013

Pellegrini anamtaka mlinda mlango wa Malaga Caballero kujiunga na Manchester City kuongeza ushindani kwa Joe Hart.

Willy Caballero

Manchester City inaendelea kumfukuzia mlinda mlango wa  Malaga Willy Caballero.

Taarifa zinasema kuwa City ilijipanga kunasa saini ya mlinda mlango huyo wakati wa kipindi cha uhamisho wa kiangazi kilichopita baada ya kuthibitishwa na Caballero mwenyewe mwezi uliopita.

Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 32 amekuwa sana katika fikra za meneja Manuel Pellegrini na akimchukulia kama ni mtu mwenye mwendo mzuri.

 City inataka kuwepo na ushindani kwa Joe Hart ambaye amekuwa katika misimu tofauti.Safe hands: Willy Caballero is known by Manuel Pellegrini because of their days together at Malaga
Willy Caballero lifahamika kwa Manuel Pellegrini kwasababu walikuwa pamoja katika klabu ya Malaga.

Not easy: Joe Hart will be watching over his back as Pellegrini looks for a new keeper
Joe Hart 

Muajentina Caballero amenukuliwa akisema 
‘Nimeongea na Pellegrini kabla hajaondoka Malaga.
 Najua nia yake ya kunichukua lakini sikujua kama angeendelea na walinda mlango aliokuwa nao au kunichukua.’

Concerned: Pellegrini has been unimpressed with Hart's performances so far this season
 Pellegrini

No comments:

Post a Comment