KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, October 12, 2013

Egypt yatakiwa na Fifa kuhakikisha usalama katika mchezo wao dhidi ya Ghana.

Shirikisho la soka duniani Fifa limeitaka Misri kuhakikisha kunakuwepo na hali ya usalama katika mchezo wao dhidi ya Ghana kuelekea katika mchezo wao wa play-off mjini Cairo kufuatia hofu ya usalama.
Ghana itakuwa wenyeji katika mchezo wa mkondo wa kwanza utakao chezwa Jumanne mjini Kumasi huku mchezo wa marudiano ukitarajiwa kupigwa Novemba 19 katika mji mkuu wa Misri Cairo ambapo mshindi wa jumla atafuzu kuelekea nchini Brazil.
Ghana maarufu kama 'The Black Stars' waliitaka fifa kuhamisha mchezo wao wa marudiano wa Novemba 19 na kuuhamishia katika uwanaj huru

No comments:

Post a Comment