KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 23, 2014

Manchester City kumuuza Nastasic kwa vilabu vya Italia wakati Arsenal wakiendelea kumbwela mbwela

Matija Nastasic kujiunga kuondoka City
Manchester City imepokea maombi ya vilabu vya Inter Milan na Roma kwa ajili ya Matija Nastasic ambaye wanataka kumuuza kwa lengo la kumsajili  Eliaquim Mangala akitokea katika klabu ya Porto.
Hata hivyo inaonekana vilabu hivyo huenda vikapigwa kumbo na Arsenal ambayo inataka kufanya malipo kwa haraka.
Arsene Wenger wanamsaka mlinzi mwingine wa kati endapo nahodha Thomas Vermaelen ataondoka na kujiunga na Manchester United
Mlinzi huyo wa kimataifa wa Serbia alionekana na thamani kubwa mbele ya maskauti wa Arsenal alipokuwa akiitumikia Fiorentina, kabla ya City kumdaka mwaka 2012 na kuendeleza ubora wake kama mlinzi bora Ulaya.

No comments:

Post a Comment