KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, January 31, 2013

HATMA YA NANI KUCHEZA FAINALI YA KOMBE LA MFALME (COPA DEL REY) KUJULIKANA FEBRUARI 26 BAADA YA BARCELONA NA REAL MADRID KWENDA SARE YA BAO 1-1.

 How did he miss? Cristiano Ronaldo should have levelled the score but fluffed his lines

Hatma ya nani kati ya Real Madrid na Barcelona ataingia katika hatua ya fainali ya michuano ya kombe la mfalme  (Copa del Rey) sasa itategemea mchezo wa mkondo wa pili februari 26 katika dimba la Camp Nou, baada ya timu hizo hii leo kutoshana nguvu katika mchezo uliopigwa katika dimba la Santiago Bernabeu.
 Timu zote hii leo zilitengeneza nafasi nyingi za kufunga katika kipindi cha kwanza lakini goli la kwanza lilipatikana kunako dakika ya 5 ya kipindi cha pili pale ambapo Cesc Fabregas alipounasa mpira wa kuetengenezwa na Lionel Messi na kupiga mpira uliompita past Diego Lopez.
Madrid ilisazisha dakika 9 kabla ya filimbi ya mwisho lililofungwa na Raphael Varane kwa kichwa ya krosi ya Mesut Ozil.
Level pegging: Raphael Varane (left) celebrates after scoring the equaliser
Raphael Varane (kushoto) akishangilia baada ya kufunga bao la kusawazisha.

Habari njema ni kwa kocha wa Madrid Jose Mourinho kumjumuisha kwa mara ya kwanza kikosini mlinda mlango Lopez aliyejiunga wiki na klabu hiyo wiki iliyopita akitokea Sevilla kuziba pengo la mkongwe Iker Casillas.
Lakini mlinda mlango namba mbili Jose Manuel Pinto akidaka kwa mara ya kwanza na akifanikiwa kuzuia michomo mbalimbali iliyoelekezwa langoni kwake.
Opener: Cesc Fabregas pulls the trigger to put Barcelona in front against Real Madrid
Cesc Fabregas akifunga goli la kuongoza la Barcelona.

Pure delight: Fabregas celebrates opening the scoring for Barcelona Fabregas akishangilia goli alilofunga.
Barcelona's Cesc Fabregas (L) celebrates scoring
Hapa Fabrigas anapongezwa baada na Xavi.
How did he miss? Cristiano Ronaldo should have levelled the score but fluffed his linesBullet: Varane heads home the equaliser to ensure the spoils are shared in the first leg
Varane akipiga kichwa mpira uliozaa goli la kusawazisha la Madrid.
Bullet: Varane heads home the equaliser to ensure the spoils are shared in the first leg

No comments:

Post a Comment