Mdau Selemani Katto ameshangazwa na kusikitishwa na maamuzi ya kamati ya rufaa ya uchaguzi kwa kumuondoa Malinzi kwa kigezo cha uzoefu. |
Kutoka kushoto ni mdau Saidi Bakari, Ayubu Nyenzi na Dossi Matola. |
Salum Mkemi akisisitiza madai yake ya kupinga maamuzi ya rufaa ya uchaguzi wa TFF. |
Meza ya wadau wakipinga maamuzi ya kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF chini ya Iddi Mtingijola. |
Mdau Ramadhani Mgeni maarufu Dogo Macho naye anasema anaamini Rais Jakaya Kikwete atasikia kilio cha wao kama wadau hivyo anamuomba aingilie kati akiwa kama kiongozi mkiubwa wa nchi. |
Dada Batuli naye mdau aliyekereka na maamuzi ya kuenguliwa Jamali Malinzi. |
BOFYA KUSIKILIZA WALIVYO JIPANGA
No comments:
Post a Comment