HAPPY BIRTHDAY COOLIO
JINA LAKE HALISI NI Artis Leon Ivey, Jr.amezaliwa August 1, 1963 lakini jina lake la stage anafahamika kama Coolio, is a rapper, musician and actor.alianza kujulikana zaidi mwaka 1994 baada ya kuibua single ya "Fantastic Voyage", na baabaye mwishoni mwa mwaka 1995 akimaliza kazi na ngoma ya "Gangsta's Paradise" ambayo ilikuja kuwa ni sehemu ya soundtrack katika filamu ya Dangerous Minds
Coolio alianza ku-rap akiwa kinda yaani katika “young age” aki- perform katika matamasha mbalimbali yaliyofanyika local Los Angeles akiwa bado mdogo. Katika miaka ya mwisho ya 80s, alifanya ngoma kama ed "Watcha Gonna Do" na baadaye alijiunga na katika mambo mengi yanyohusiana na kufanya Rap na kujiuna na makundi kadhaa kama WC na Maad Circle katika mwaka wa 1991. Kiongozi wa WC wakati huo alikuwa ni raper chiotte laikini Coolio alikuja kuwa moto na raper mkali katika kundi .Aliimba verses chache katika albam ya kundi iliyoitwa “Ain't a Damn Thang Changed” ambapo kuna nyimbo kali kama "Dress Code". Huyo ndiye COOLIO mbaye leo ndiye mkali wa leo akiadhimisha umri wa mtu mzima yaani miaka 47,HAPPY BIRTHDAY COOLIO.

No comments:
Post a Comment