ANAITWAAAAAAA DJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIANU!
Kila siku za wilki jumatatu mpaka ijumaa Uhuru Fm kuanzia saa 10 jioni mpaka saa moja jioni katika ambiance shituka ni mkali katika misuguo ya nyimbo za dansi akishirikiana na mkpokigwa fredy “kigwa One” sambamba na dada yao shaila simba ebwana eee don’t miss it.
Nikuambie kitu kuhusu yeye ana mpango wa kuja na kitu special kwa ajili yako subiri uzinduzi unakuja ni mpango mzima. Hapo kapozi kwa ajili ya picha hii na wewe Anu unasuri kabisa right,camera, action noma hiyo .any way usikose kila siku kuanzia saa kumi mpaka saa moja jioni.

Full maelezo.
ReplyDeleteKumbe ndiye akamatishaye na Kigwa One sio? Hapo nimekupata.
Basi twatamani muanze sikika hata online ili nasi tulio "utumwani" tuwapate
Blessings