KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 12, 2010

Hii ni ziara ya twiga stars katika jiji la washington twiga stars wakipozi na governor wa jiji la Washington
matron wa twaga Bi Rahama akipiga kinanda

picha ya pamoja ya wachezaji wa twiga nje ya state of capitol ya gavornor wa jiji la washington
matron wa twiga stars bi Rahma Al Kharous akipangusa kinyago cha Rais wa zamani wa marekani george washingto

kina dada wakipozi karibu na sanamu ya rais wa zamani wa marekani George Washington

No comments:

Post a Comment