KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 18, 2010

YANGA WON COMMUNITY SHIELD AGAINST SIMBA ON PENALT SHOT-OUT TO SIGN THE START OF TANZANIA FOOTBALL PRIMIER LEAGUE ON SATURDAY Yanga players celebrate the community shield yesterday at the National stadium
Tanzania football federation president Leodigar Tenga presenting the shield to yanga captain Freddy Mbuna

MOUSSA DEMBELE WA AZ ALKAMAR AJIUNGA NA FULHAMFulham imefanikisha moja ya malengo yao ya kumsajili mshambuliaji huyo raia wa Belgium
Dembele ambaye kwasasa ana umri wa miaka 23 ameingia mkataba wa miaka mitatu na sasa atakuwa nakibaru pevu cha kuwania namba na mshambuliaji chagu la kwanza Bobby Zamora pamoja na Andy Johnson katika kikosi cha kocha Mark Hughes.
Hapo kabla mchezaji huyo alikuwa katika mazungumzo na vilabu vya Birmingham City na West Ham zote za uingereza

KELVIN PRINCE BOATENG AJIUNGA NA MILAN KWA MKOPO AKITOKEA GENOAKigogo cha kandanda nchini Italia AC Milan kimetangaza kumsajili kiungo wa kimataifa wa timu ya taifa ya Ghana Kevin-Prince Boateng akitokea klabu ya Genoa kwa mkopo wa msimu wa muda mrefu lakini akiwa na maamuzi ya kusajiliwa moja kwa moja kama mchezaji wa kudumu baada ya kumalizika kwa msimu huu wa 2010-11.

Hapo kabla ya Boateng alisajiliwa Genoa inayoshiriki ligi kuu ya Italia Serie A akitokea Portsmouth ya uingereza baada ya kuonyesha kandanda safi akiwa na timu ya taifa ya Ghana maarufu kama Black Stars katika fainali ya kombe la dunia kule Afrika kusini “World 2010” lakini hata hivyo jumanne ya wiki hii Rais wa Grifone Enrico Preziosi akabainisha wazi juu ya mapango wao wa kumkopesha katika klabu ya Milan.




HATIMAYE MILNER AELEKEA EASTLAND HUKU STEVEN IRELAND AKIELEKEA VILLA PARKMipango ya uhamisho ya nyota James Milner kutoka Aston Villa kuelekea Manchester City imakamilika huku kiungo mwingine wa Man City Stephen Ireland naye sasa akitakiwa kuelekea upande wa pili kwa minajili ya makubaliano ya kubadilishana wachezaji

Kabla ya kuondoka kwake Man city nyota huyo alikuwepo katika kikosi cha city kulichoibuka na ushindi cha Aston Villa dhidi ya wagonga nyundo West Ham jumamosi na yeye kupata bao jumamosi iliyopita.

Anawasili eastland kwa ada ya pauni milioni 18 pamoja na makubaliano ya kubadilishana kama thamani ya nyongeza kwa kiungo Steven Ireland aliyethaminishwa kwa pauni milioni 8.
Sasa kiungo huyo anatarajiwa kuwepo dimbani katika mchezo wa jumatatu dhidi ya Liverpool.

Baada ya kukamilisha zoezi la vipimo vya afya jumanne Milner alijiunga na City moja kwa moja katika mazoezi jumatano hii ikiwa ni pamoja na kukamilisha mipango mingine pamoja na kukabidhiwa jezi nambari 7 ambayo ilikuwa ikivaliwa na mbadala wake Steven Ireland.

No comments:

Post a Comment