KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, September 16, 2010

KETTY PERRY KUFANYA TOUR 2011 AKISEMA NA VIDEO YA WIMBO WAKE UJAO WA TEENAGE DREAM ITAKUWA MOTO Katy Perry anajipanga kufanya bonge la tour 2011 Tour huku akisema video yake ijayo itakuwa ni moto
Akiwa katika tuzo za MTV VMAs red carpet, Katy Perry ambaye kwasasa anaonekana kukamua vilivyo katika muziki wa pop anasema anataraji kufanya tour behind "Teenage Dream" in 2011, MTV.
"I hope that it's going to engage all of your senses: sight, sound, smell, taste, touch,"
Akizungumzia juu ya wimbo wake ujao ambao utakuwa ni single yake ya tatu wa "Teenage Dream" wimbo wenyewe na video yake itakuwa "touching."

No comments:

Post a Comment