
Tukio hilo la Brand limetokea ijumaa ambapo alizuiliwa kwa muda na kuwekwa sero kufuatia kitendo cha paparazzi huyo kutaka kudaka picha ya “chap chap” toka kwa mastaa hao.
Brand alifunguliwa mashitaka katika kituo kidogo cha LAPD's Pacific Division na kuachiwa kwa dhamana ya dolari za kimarekani $20,000.Aliachiwa baadaye sana ijumaa hasa baada ya kujitambuliasha taarifa zikitolewa na msemaji wa Los Angeles Airport Police Belinda Nettles .
Inaarifiwa kuwa mshindi huyo mara mbili wa tuzo za MTV Video Music Awards alikuwa akizongwa na mapaparazi wakati akijaribu kuingia katika terminal
Kidosho wake Perry ame-comment juu ya hilo kupitia Twitter juu ya sakata hilo akikaririwa akiandika kuwa mpenzi wake alikuwa akimlinda yeye na kamera zilizo kuwa zikimmulika
"If you cross the line & try an put a lens up my dress, my fiancé will do his job & protect me.
No comments:
Post a Comment