Kwa mara
nyingine tena mabingwa wa kombe la kagame Yanga hii leo wameshindwa
kuwafurahisha mashabiki wake baada ya kukubali kulambishwa sukari kilo moja na
kuvembewa katika moja ya michezo ya ligi kuu soka Tanzania Bara.
Yanga
imekubali kibano cha bao 1-0, bao ambalo liliwekwa kimiani na Temi Felix kunako
kipindi cha pili.
Huu hi
mchezo wa pili kwa Yanga kufungwa tangu kuanza kwa ligi hiyo, ambapo katika
mchezo wa kwanza Yanga ilikubali kufungwa mabao 3-0 na Mtibwa Sugar mchezo
uliochezwa katika uwanja Jamhuri mkoani Morogoro.
Ratiba michezo ijayo
10/10/2012
Kagera sugar vs JKT Ruvu Kaitaba
Toto Afrika vs Yanga CCM Kirumba
No comments:
Post a Comment