KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, September 20, 2010

FANTASIA ARUHUSU KIPANDE CHA JARIBIO LAKE LA KUJIUA KWA ASPIRINE KUCHOMEKEWA KATIKA FILAMU YAKE YA "FANTASIA FOR REAL"


Fantasia ameruhusu kipande cha sauti ya jaribio lake la kutaka kujiua kuchomokewa katika filamu yake itakayokwenda kwa jina la “VH1 reality show "Fantasia for Real," hii ni kwa mujibu wa mwalimu wake anayemfundisha na kitahusika kile ambacho kimerekodiwa tayari katika mtandao wakati wa jaribio hilo.

Itahusisha sehemu ya sauti za mlio wa king’ora vya huduma ya haraka ya “audio of the 911 call” kuanzia eneo ambalo mshindi huyo wa zamani wa "American Idol"alipokunywa dawa aina ya Aspirine mpaka kuelekea hospitali akiwa na plaster aina ya IV mkononi .


Akikaririwa anasema "I have not fulfilled my destiny," Fantasia says in a voiceover. "It's not time for me to go anywhere. And i can still fight, still keep going.
"Let them talk. Let them say what they wanna say, but I'm still here," ameongeza Fantasia.

Katika filamu hiyo ya "Fantasia for Real" anaonekana pia nyota huyo wa muziki akipokea cheti cha ngazi ya diploma katika kuelekea kutoka kwa kwa album yake mpya ya "Back to Me." Iliyotoka Aug. 24, na kupelekea kukamata nambari No. 2 katika chati za Billboard nyimbo 200 bora huku kopi 117,000 zikuuzwa katika wili ya kwanza kwa mujibu wa Nielsen SoundScan.
Fantasia alijipiga mzigo wa dozi ya aspirin Aug. 9, baada ya kuhusishwa na tukio la kuvunja ndoa za watu.


BEYONCE YUKO KATIKA MAANDALIZI YA ALBUM MPYA



Baada ya kuwa katika mapumziko ya muda tangu mapema mwaka hatimaye Beyonce sasa anajipanga kwa ajili ya albamu yake ya nne mpya kali "biggest album ever," kwa mujibu wa mwandishi wa mashairi ya nyimbo hizo ambaye pia ndiye mtayarishaji wake Sean Garrett. Katika mahojiano na PopEater, Garrett, ambaye amewahi kufanya naye kazi katika ngoma kadhaa kama vile "Video Phone" na "Upgrade U," anasema pop star huyo anaelekea kujifua kuelekea katika album yake hiyo ambayo wanatarajia kuanza kuifanyia kazi ndani ya mwezi huu

No comments:

Post a Comment