KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 6, 2010


Happy birthday Geri Halliwell

Geraldine Estelle "Geri" Halliwell ALIZALIWA August 6 mwaka 1972 .Ni English pop singer–songwriter, author, actress na philanthropist. Baada ya kuingia katika umaarufu wa kimataifa akiwa kama member wa kundi la Spice Girls, Halliwell alizindua mpango wake wa kujitegemea yaani solo career na kuanza kuibua album yake ya Schizophonic.tangu wakati huo amefanikisha albamu nyingine mbili ambazo ni — Scream If You Wanna Go Faster and Passion — nay a pili na kushika nafasi ya kwanza katika singles bora iliyobamba katika chart ya UK ngoma , "Mi Chico Latino", "Lift Me Up", "Bag It Up" na "It's Raining Men". Mwaka 2008 Halliwell alizindua kitabu chake kilichoitwa Ugenia Lavender.akiwa kama solo artist Halliwell ameuza rekodi milioni 12 duniani na kumbuka miaka ya 2000 na 2002 alitajwa kama mshindi wa Brit Awards .




picha hii akifanya vitu vyake katika moja ya onyesho kubwa kuwahi kutokea nchini uingereza kwa sasa bibiye huyu anakula shavu tuu anafanya Pop,Dancing Pop, Pop Rock na aina nyingine

ya muziki June 28 mwaka 2007, Halliwell aliwahi kutangaza kuwa anarejea katika kundi lake la zamani kwa lengo la kuimba wimbo ambao ungewaunganisha pamoja "Return of the Spice Girls", jambo ambalo lilikuwa jema kwa kuwarudisha pamoja kama kundi la Spice Girls na kupanda jukwaani pamoja tangu mara ya mwisho Halliwell kuondoka 1998. leo mwana mama huyo anazaliwa kwa maana ya Birthday yake akiwa anakamilisha jumla ya miaka 38 tunakutakia maisha marefu .

No comments:

Post a Comment