KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, October 28, 2010

KIERAN GIBBS AKUMBWA NA MAJERUHI KUWA NJE YA UWANJA KWA WIKI KADHAA

Mlinzi wa kushoto wa Arsenal Kieran Gibbs atakosekana kwa wiki kadhaa kufuatia kupatwa na majeraha ya mguu aliyoyapata katika mchezo wa jana wa michuano ya Curling Cup dhidi ya Newcastle united mchezo ambao walichomoza na ushindi manono wa mabao 4-0 jumatano
Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 20 ambaye alikosekna katika sehemu kubwa ya michezo ya msimu uliopita kutokana na matatizo ya mguu mara hii anasumbuliwa na msuli mkubwa na anatarajiwa kufuanyiwa kipimo cha scan ijuma hii .

Gibbs alikuwepo katika mchezo ambao timu ya taifa ya uingereza ilipokuwa dimbani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Hungary mwezi August.

Kiungo wa timu hiyo toka Wales Aaron Ramsey na msjambuliaji mduch Robin van Persie wao wanatarajiwa kurejea dimbani katika mazoezi kamli wiki ijayo

No comments:

Post a Comment