![]() |
Hernandez pembeni mpenzi wake |
Nyota wa Manchester United amejiunga katika mtandao
wa kijamii wa Twitter na kupata wafuasi wengi zaidi ndani ya muda mfupi.
Javier
Hernandez baada ya kufungua account ya Twitter ndani ya masaa 24 ameongeza
followers 125,000.
Rafiki yake
Rio Ferdinand alimkaribisha Hernandez kwa maneno haya katika ukurasa wake
“Chicharito,
AKA Javier Hernandez sasa yuko Twitterverse people karibu rafiki yangu”
Baada ya
masaa machache ya kufungua account hiyo Hernandez alituma ujumbe wake wa kwanza
kupitia video proclaiming akitamka "this
indeed is the official account."
No comments:
Post a Comment