Shirikisho la
soka nchini Kenya (FKF) limemfukuza kazi kocha wake wa timu ya taifa (Harambee
Stars) Francis Kimanzi na benchi lake zima la ufundi baada ya kuondoshwa katika
kampeni ya kuwania kucheza fainali ya mataifa ya Afrika mwakani 2013.
Kenya ilifungwa
kwa bao 1-0 na Togo jumapili na kupata matokeo ya jumla ya mabao 2-2 na
kuondoshwa kwa sheria ya faida ya bao la ugenini.
Shirikisho hilo
limesema katika taarifa yake kuwa
"tunechukuliwa kwa umakini juu ya kucheza
fainali za kombe la dunia na baada ya matokeo haya mabaya mabadiliko ya ghafla
yamefanyika"
Kimanzi atakuwa
ndani FKF kama mkurugenzi wa ufundi.
Atakuwa sasa
akifanya kazi na Patrick Naggi, whose role has been changed from technical
director to executive officer.
Kimanzi aliteuliwa
kama kocha mwezi November kuindaa timu ya taifa wa ajili ya kufuzu kombe la
dunia 2014 na fainali za mataifa ya Afrika 2013.
The Harambee
Stars iko katika nafasi ya mwisho katika kundi F katika kuwania kufuzu kombe la
dunia 2014.
Ilianza kampeni
kwa sare ya bila mabao nyumbani Kenya dhidi ya Malawi kabla ya kufungwa na Namibia kwa bao 1-0.
Mwezi March
itakuwa ikielekea nchini Nigeria kucheza mchezo mwingine wa kundi hilo.
No comments:
Post a Comment