Winga wa Manchester United Wilfried Zaha ameweka wazi kuwa klabu ya Newcastle ndio klabu ambayo anaweza kujiunga nayo endapo endapo atasalia katika klabu ya Manchester United.
Zaha hajacheza hata dakika moja katika kikosi cha kwanza cha United tangu mchezo wa ngao ya jamii pale United ilipoishinda Wigan Athletic katikati ya mwezi Agosti.
Newcastle, Swansea City, West Brom, Stoke City na klabu yake ya zamani ya Crystal Palace wote wameoinyesha kumuhitaji kwa mkopo katika nusu ya pili ya msimu.

Inaaminika kuwa Zaha na wawakilishi wake wanaitazama Newcastle kutoka sehemu za kaskazini/mashariki kuwa na nafasi wakati ambapo meneja wa United David Moyes akimuonyeshea taa ya kijani ya kuondoka kwa mkopo mchezaji huyo wakati wa uhamisho wa mwezi Januari.
Winga huyo alijiunga na United akitokea Palace mwezi januari kwa uhamisho wa pauni milioni £17 kabla ya kupelekwa kwa mkopo Selhurst Park katika kumalizia msimu uliopita.
No comments:
Post a Comment