KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, June 18, 2012

Nasri ataka msamaha wa mashabiki.


Samir Nasri anadhani ufaransa bado inajenga kikosi chake chini ya Laurent Blanc huku akifikiri kwasasa wanahitaji kusamehewa
Wakati huu wakihitaji kupata nafasi katika hatua ya robo fainali ya michuano ya ulaya toka kundi Nasri anasema bado ina nafasi ya kuwapa faraja mashabiki wake ambao walivunjika moyo tangu katika fainali za kombe la dunia.
Chini ya kohca Raymond Domenech kiwango chao kilikuwa si cha kufurahisha.
Chini ya kocha Laurent Blanc kimeimarika hususani kabla ya mchezo dhidi ya Uingereza ambapo walikwenda sare ya bao 1-1 na baadae kuongoza kundi la D baada ya ushindi dhidi ya wenyeji Ukraine wa bao 2-0.
Nasri bado anaamini itachukua muda kufikia katika nzuri kwa taifa hilo kuonyesha kandanda la kutakata
Ananukuliwa akisema
 "mashabiki wetu bado hawaja tusamehe lakini tutafanya kila linalo wezekana kubadilisha hali hiyo,"

No comments:

Post a Comment