KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, July 26, 2012

KAGAME CUP: YANGA VS AZAM JUMAMOSI NANI KUTWAA TAJI?

Mshambuliaji Said Bahanuzi akimbeba mfungaji wa bao pekee la Yanga Hamisi kiiza katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Kagame dhidi ya APR ya Rwanda ambao Yanga ilishinda kwa bao 1-0.

Wachezaji wa Azam wakiwanayamazisha mashabiki waliokuwa wakiwazomea wakati wa mchezo wao wa nusu fainali ya kombe la Kagame dhidi ya Vita Club ya DRC mchezo ambao ulimalizika kwa Azam kushinda kwa mabao 2-1 huku mabao ya Azam yakifungwa na John Boko na Mrisho Ngasa.
(Picha zote msaada wa Bongostaz blog)
Fainalli ya michuano hiyo sasa itazikutanisha mabingwa watetezi Yanga dhidi ya Azam ilhali Vita na APR zitakutana katika mchezo wa mapema kusaka mshindi wa tatu.

No comments:

Post a Comment