Thomas
Vermaelen amechaguliwa kuwa mrithi wa unahodha wa Robin van Persie katika klabu
ya Arsenal kama ilivyo tolewa taarifa hivi punde.
Wakati
mshambuliaji mahiri na hodari Van Persie akiwa anaelekea Old Trafford, Arsene
Wenger ametangaza Vermaelen kukiongoza kikosi chake wakati ambapo ligi kuu ya
England ikiwa inafungua pazi hapo kesho na Asernal ikitarajia kuanza kampeni ya
taji la ligi kuu hape kesho bila ya Robie Van Persie na Vermaelen akiongoza
kikosi dhidi ya Sunderland.
Wenger
amemchagua Mikel Arteta kuwa msaidizi wa nahodha huyo ikiwa ni msimu wa pili
kwa Arteta kuwepo katika viunga vya Emirate stadium.
No comments:
Post a Comment