KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 22, 2012

FIBA Zone V Basketball tournamnet, timu za Tanzania SAVIO , ABC wanaume na Jeshi Stars na Don Bosco zinaendele kufulia huko Uganda.

Hii ni sehemu ya ufunguzi hapo jana
 

Michuano ya kanda ya tano ya mpira wa kikapu (FIBA Africa Zone V basketball tournament) imekuwa ikiendelea huko nchini Uganda ambapo vilabu bingwa toka ukanda wa Afrika mashariki na kati katika mchezo wa kikapu vimekuwa vikipambana kusaka mshindi wa kanda kwa upande wa wanawake na wanaume.
Timu za Tanzania Savio na ABC kwa upande wa wanaume na Jeshi Stars na Don Bosco hii leo zilikuwa zikicheza michezo yao ambayo ilianza hapo jana na kupoteza.
Matokeo ya jana FIBA Zone V Basketball action
Men: Kyambogo Warriors 56 Espior (Rwanda) 72
KCB Lions (KEN) 95 vs ABC (TZ) 58
Women: KCCA 63 Berco Stars (Burundi) 50
UCU Lady Canons 64 Eagle Wings (Kenya) 75
MATOKEO YA LEO (FIBA Africa Zone V basketball results)
Urunani (BUR) 58 Savio (TZ) 51
Power 85 vs South Sudan 57
Espoir (RWA) 66 vs Urunani (BUR) 68
KCB (KEN) 83 vs  South Sudan 47
ABC (TZ) 73 vs D-Mark Power (UGA) 85
Wanawake
Eagle Wings (KEN) 92 vs Don Bosco (TZ) 36
Jeshi Stars (TZ) 47 vs Barco Stars (BUR) 84


No comments:

Post a Comment