KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, August 18, 2012

FLASHBACK KWENYE MASUMBWI MOHAMED ALLY VS FLOYD PETTERSON

HEBU TULIZA AKILI NA ANGALIA PAMBANO HILI NA UTOE MAONI YAKO. Yako mambo mengi sana ya kujifunza kwenye masumbwi endapo utafuatilia mapambano makubwa ya huko nyuma tangu enzi za Mohamed Ally miaka ya 1960'. Kulikuwa kuna mbinu nyingi tofauti na sasa ambapo ngumi zimekuwa katika sheria mabadiliko ya sheria na hata teknelojia kutumika katika kumpata bingwa.
Katika video hii Mohamed Ally vs Floyd Patterson walikuwa akitumia ujanja na akili nyingi zaidi kuliko nguvu kubwa kutumika kama walivyo pigana akina Tyson na wengine wengi wa miaka ya 90' mpaka hii leo.
Katika flashback hii utakuwa umejifunza mengi kama kweli wewe ni mdau na mpenzi wa masumbwi.
Katika pambano hili Mohamed Ally alishinda kwa KO november 1965 lilikuwa pambano zuri sana.

No comments:

Post a Comment