YANGA YAKABIDHIWA NEMBO WALIZOCHAGUA NA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONO VODACOM
|
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako (kati) akipokea jezi walizokabidhiwa na Vodacom zikiwa na doa jeusi kutoka kwa Meneja
Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu
(kushoto). Kulia ni Ofisa Udhamini wa kampuni hiyo, Ibrahim Kaude |
|
Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum
Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa
jeusi. |
No comments:
Post a Comment