KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, October 20, 2012

KASEBA KAMLETA PROMOTA WA Evander HOLYFIELD Joel Andrews MWANANYAMALA

Bondia Evander Holyfield akiwa na Promota wa GYM yake ya Marekani Joel Andrews ambaye yupo nchini kwa ajili ya kusaka mabondia wa uzito wa juu kwenda kuishi nje na kufanya mapambano yao Marekan.
Mmarekani Joel Andrews wa pili kushoto akiwa na mabondia wa uzito wa juu waliojitokeza kwa ajili ya kuwaona na kufawafanyia mipango ya kwenda kucheza ngumi Marekani na kuishi huko kushoto ni
Japhert Kaseba ambaye ndiye mwenyeji wake.

No comments:

Post a Comment