 |
Mshambuliaji wa Yanga Jeryson Tegete akishangilia bao la pili alilofunga katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-2, huku mabao mengine ya Yanga yakifungwa na Mbuyu Twite na Didier Kavumbagu. |
 |
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akimatoka beki wa Ruvu shooting
Baraka Jaffari kwenye mchezo wa ligi kuu uliochezwa uwanja wa
Taifa. |
 |
Mshambuliaji wa Yanga Didie Kavumbagu akijaribu kumtoka beki wa Ruvu shooting Baraka Jaffari |
Katika mchezo mwingine wa ligi hiyo
kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Coastal Union iliifunga Mtibwa Sugar mabao
3-1 mabao ya Juma Jabu, Daniel Lyanga na Lameck Dayton, la Mtibwa lilifungwa na
Shaaban Nditi.
No comments:
Post a Comment