KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, January 13, 2013

THOMAS MASHALI AMSHINDA BERNARD MCOCIECH KWA KO

Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni, Charles Kenyella  akimvalisha mkanda bondia  Thomas Mashali baada ya kumtwanga kwa KO raundi ya 5 bondia Benard Mcociech wa Kenya kwenye pambano la raundi 10 la kugombea mkanda wa Afrika Mashariki na Kati lililofanyika kwenye ukumbi wa Friends Corner Manzese.
Mwamuzi akimwesabia Benard Mcociech  baada ya kuanguka mara ya tatu na kukubali yaishe na Thomas Mashali kutangazwa bingwa




Thomas Mashali akikwepa ngumi

Benard Mcociech akiwa chini baada ya kupokea makonde mazito toka kwa Thomas Mashali.
Mwanamuziki Profesa J akiwaonesha wadau wa ngumi kitu kwenye simu yake kabla mpambano kuanza.
Kamanda Charles Kenyella akiwa amewashika mikono mabondia wote baada ya kumvalisha mkanda bingwa.
Thomas Mashali akimrushia ngumi ya uso bondia Benard Mcociech

No comments:

Post a Comment