KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, January 13, 2013

BONANZA LA WACHEZAJI WA ZAMANI WA LIGI KUU YA SOKA TANZANIA BARA KATIKA PICHA. MBALI YA BURUDANI LIMEWASOGEZA KARIBU WACHEZAJI WA ZAMANI NA NMB YAONGEZA UDHAMINI WAO.

Wachezaji wa Simba kutoka kushoto ni Dua Saidi kijezi cha blue leo alikuwa golikipa wapili ni Kamba Lufo, Bita John na Barnabas Sekelo wakati wa mapunziko katika mchezo wao dhidi ya Bandari Mtwara timu hizo zilikwenda sare ya bila 0-0.
Hiki ni kikosi cha Milambo ya Tabora.
Hiki ni kikosi cha Kombaini ya wachezaji mbalimbali kilichocheza na Milambo.
Hawa ni wachezaji wa Yanga wa zamani Salvatori Edward Agustino na Silvatus Ibrahimu enzi hizo akiitwa polisi.
Waamuzi wa zamani kutoka kushoto ni Christopha Mpangala, Victor Mwandike, mzee Ally na mzee Makwega.
Simba na Bandari Iddi Selemani Nyigu akimkaba mtu mpaka kivuli kama zamani.
Iddi Selemani na Willy Martini gari kubwa.
Barnabasi Sekelo akikokota mpira.
Mlinzi wa Simba Kamba Lufo akimdhibiti mshambuliaji wa Bandari.
Abubakari Kombo na Primus Kasonzo wakati wa mapumziko.
Abdalah Kaburu wa Ushirika ya Moshi mwenye jezi nyekundu timu yake ilishindwa kushiriki hii leo.
Omari Hussein maarufu kama Keegan alikuwepo katika Bonanza.
Milambo wakisalimiana na Dar Kombaini kabla ya mchezo baina yao.

No comments:

Post a Comment