SEMINA YA SIKU TATU YA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO NA MAAFISA HABARI WA WIZARA NA MIKOA ILIVYOFUNGWA MKOANI MOROGORO KATIKA PICHA.
|
Washiriki wa semina ya siku tatu iliyowashirikisha waandishi wa habari za michezo na maafisa habari nchini iliyoandaliwa na British Council kwa kushirikiana na Baraza la michezo nchini (BMT) mkoani Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja. Semina hiyo ilianza Februari 26 na kumalizika Machi mosi. |
|
Katibu tawala msaidizi wa mkoa wa Morogoro Larmeck Noah akifunga semina ya siku tatu kwa waandishi wa habari za michezo na maafisa habari wa wizara na mikoa, semina ambayo ilifanyika mkoani Morogoro. |
|
Burudani ya Makhirikhiri pia ilikuwepo wakati wa kufunga mafunzo. |
|
Katibu tawala wa mkoa wa Morogoro na mratibu wa semina kutoka British Council Jacob Nduye. |
|
Wawezeshaji Sauda Kilumanga na Leanne Marin-Pollock (a.k.a mama Mwanaidi au mama Mustafa) |
|
Mwezeshaji Sauda Kilumanga (kulia) akionyesha umahiri wa kucheza ngoma yenye asili ya Zimbabwe maarufu kama Makhirikhiri wakati wa ufungaji wa semina. |
|
Mwakilishi wa wanasemina RAS wa mkoa wa Ruvuma Bw Kasimba akiwashukuru kwa niaba ya washiriki wengine, British council, BMT na wenyeji mkoa wa Morogoro kwa kufanikisha semina hiyo. Kushoro ni afisa habari wa mkoa wa Mwanza Mr Kuni. |
|
Mwandishi mkongwe wa michezo wa gazeti la Jambo leo Asha Kidungula akikabidhiwa zawadi ya fulana kutoka British Council na wawezeshaji Sauda Kilumanga na Leanne Martin-Pallock. |
|
Washiriki wa Semina kutoka kushoto Ally Kashushu, Alex Luambano, Rehema Lusewa, Danniel Dadile na Mwani Nyangasa katika majadiliano ya mazoezi kutoka kwa mwezeshaji Leanne Martin-Pallock( mama Mwanaidi). |
|
Kutoka kushoto ni Saidi Kilumanga, Veronica Kazimoto, RAS wa Ruvuma Kasimba na Nasolengya Kilyinga katika majadiliano. |
|
Malio Cheto Ndedengwa katikati akiwa na Hassani Mabuye kulia na Mkilanya. |
|
Kutoka kushoto ni Amour Hassan, Sostenes Nyoni na Adrophina. |
|
Daniel akipokea cheti cha ushiriki. |
|
Prisca |
|
Adrophina. |
No comments:
Post a Comment