KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, April 13, 2013

BAYERN MUNICH KUMCHUKUA KOSCIELNY WA ARSENAL KUIMARISHA ULINZI.

In for it: Laurent Koscielny (right) played against Bayern Munich in Arsenal's Champions League bid
In for it: Laurent Koscielny (right) played against Bayern Munich in Arsenal's Champions League bid.

Bayern Munich imemuweka katika mawindo yao ya kwanza mlinzi tegemeo wa Arsenal, Laurent Koscielny wakati huu ambapo meneja mpya wa klabu hiyo Pep Guardiola anajiandaa kuanza kazi na mabingwa hao wapya wa ligi kuu ya nchini Ujerumani.
 
Klabu hiyo inampango wa kumuacha mkongwe mlinzi mkongwe raia wa Belgiam Daniel van Buyten na hivyo kupata kifaa ambacho kitamridhisha na kwenda na mwelekeo wa bosi mpya.
 
Koscielny alikuwa pia katika mawindo ya Barcelona katika msimu wa mwisho wa Guardiola na amekuwa akiimarika kutoka msimu mmoja mpaka mwingine tangu ajiunge na klabu hiyo ya London ya Kaskazini miaka mitatu iliyopita.
Wanted man: Laurent Koscielny (left) is being tracked by Bayern Munich
Wanted man: Laurent Koscielny (left) is being tracked by Bayern Munich
Bolstered: Koscielny has gone from strength to strength since joining Arsenal
Bolstered: Koscielny has gone from strength to strength since joining Arsenal.
 
Mlinzi wa Borussia Dortmund Mats Hummels pia yuko katika mipango ya Bayern japokuwa si rahisi makubaliano kufikiwa  baina ya pande hizo mbili hususani wakati huu ambapo vita bado ikiendelea baina yao kuhusina na mshambuliaji Robert Lewandowski.

Koscielny mwenye umri wa miaka 27 kwasasa  ndiye roho ya bosi wa Arsene Wenger' katika eneo la ulinzi.
Eye for goal: Koscielny scored Arsenal's second but was unable to prevent them going out at the Allianz
Eye for goal: Koscielny scored Arsenal's second but was unable to prevent them going out at the Allianz.
Incoming: Pep Guardiola will take charge of Bayern Munich next season
Incoming: Pep Guardiola will take charge of Bayern Munich next season.

No comments:

Post a Comment