Simply the best: Nobody has been as successful as Jose Mourinho (centre) at Chelsea. |
Siyo siri kwamba kipindi cha Mourinho kuwa bosi wa Real Madrid kimefikia tamati njia ya kuelekea Stamford Bridge inazidi kuwa wazi na kuwa sehemu yake ijayo.
Usiku wa jana wakati meneja wa muda Rafa Benitez alipokuwa akiiongoza Chelsea kuelekea katika fainali ya Europa League jina la Mourinho lilikuwa kwa mara nyingine tena midomoni mwa mashabiki wa klabu hiyo.
Lakini swali la kujiuliza ni kwanini Mreno huyo bado ana nafasi katika miyoyo ya mashabikiwa wa Chelsea?
Roman Abramovich ndiye mtu aliyeanzisha mapinduzi ndani ya Chelsea kwa kuwa bila ya pesa zake makombe na mataji ingekuwa ngumu.
RIKODI YA MAFANIKO YA MAKOCHA KATIKA BLABU YA CHELSEA
Manager | Games Played | Win Percentage | Trophies Won |
---|---|---|---|
Guus Hiddink | 22 | 73 | One FA Cup |
Jose Mourinho | 185 | 67 | Two League Titles, Two FA Cups, Three League Cups |
Avram Grant | 54 | 67 | None |
Carlo Ancelotti | 109 | 61 | One League Title, One FA Cup |
Roberto Di Matteo | 42 | 57 | One Champions League, One FA Cup |
Gianluca Vialli | 142 | 53 | One FA Cup, One Cup Winners' Cup, One League Cup, One Super Cup |
Rafa Benitez | 38 | 53 | None (In the Europa League final) |
Dave Sexton | 373 | 44 | One FA Cup, One Cup Winners' Cup |
Ted Drake | 424 | 37 | One League Title |
Ndani ya Chelsea katika kipindin cha miaka 106 ya historia ya klabu hiyo , Jose Mourinho ni miongoni mwa mameneja wenye asilimia kubwa ya mafanikio yeye akiwa na asilimi 67 akiwa nyuma ya Gus Hiddink mwenye asilimia 73 sawa na Avram Grant.
Hiddink katika kipindi chake cha ubosi alicheza michezo 22 huku Grant akicheza michezo 54 naye Mourinho michezo 185.
Bila shaka ni ni dhahiri kuwa hakuna ambaye amefanikiwa kuteka miyoyo ya watu chelsea kama yeye kimafanikio na hata kitakwimu.
Katika mataji manne ya Chelsea , Mourinho ameshinda mawili katika kipindin cha miaka miwili ya mwanzo ya utmishi wake.
Katika mataji manne ya Chelsea , Mourinho ameshinda mawili katika kipindin cha miaka miwili ya mwanzo ya utmishi wake.
Alishinda FA Cup na mataji mengine mawili ya League Cups katika kipindi chake cha miaka mitatu nanusu katika historia ya klabu hiyo.
Kilikuwa ni kipindi cha furaha kwa mashabiki w klabu hiyo.
Licha ya kwamba mtindo wake wa uchezaji ulitambulika zaidi kama attritional and borne out of
defensive and team discipline, ilikuwa ni vizuri kuwaangalia wachezaji kama Arjen Robben, Damien Duff na Joe Cole wakicheza ndani ya mtindo huo enzi hizo.
Pichani juu: Arjen Robben (kushoto ) na Damien Duff (kulia) walikuwa na uwezo wa kuonyesha soka safi.
Mashabiki wa Chelsea wakionyesha kupitia mabango ujumbe wa kumtaka Mourinho. Hii ilikuwa ni katika mchezo dhidi ya West Brom.
Opposition: Mashabiki wa Chelsea katika mchezo baada ya Mourinho 2007.
Roman Abramovich (kulia) akiwa na Mourinho Stamford Bridge. Je Kweli atamrudisha?
No comments:
Post a Comment