Heading for the Premier League? Borussia
Dortmund striker Robert Lewandowski (left) has denied agreeing a deal to
join Bayern Munich
Driving force: Lewandowski (right), pictured battling with Ukraine's Edmar Holovsky, is Poland's main threat
Robert Lewandowski ameweka wazi juu ya vita iliyopo baina ya Manchester United, Manchester City na Chelsea.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Poland , ambaye anatarajiwa kuwepo dimbani katika mchezo wa kesho wa kuwani kufuzu kombe katika uwanja wa Wembley ilifikiriwa kuwa angejiunga na mabingwa wa Ulaya Bayern Minich wakati wa kiangazi.
Hata hivyo mpiga mabao huyo wa Borussia Dortmund ametupilia mbali wazo la kujiunga na Bayern
na kuonyesha kuwa tayari kuelekea katika soka la nchini England ambako kumekuwa na vita ya kutaka kumsajili.
'I will be able to sign
a contract (with any club) in January, but I have never said that I
will sign a contract with Bayern,' Lewandowski, 25, told the Telegraph.
'It
was a misunderstanding. It is true I had an opportunity to speak with
Sir Alex Ferguson (last year), but we didn't mention the transfer.
'One day I would like to play in Premier League. It would be a great experience.'
Mkataba wa Lewandowski na Dortmund
unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu na vilabu vyote vya jiji la Manchester na kama ilivyo kwa Chelsea vimeonyesha nia ya kumsajili.
Mshambuliaji huyo anaweza kujisajili na klabu yoyote mwezi Januari ili ajiunge nayo mwisho wa msimu lakini Dortmund pia inaweza kumpatia bulungutu kwa lengo la kumuuza kwa ada ya makato katika dirisha lijalo la usajili.
Prolific: Lewandowski (left) has become one of
Europe's most feared marksman after helping guide Borussia Dortmund to
the Champions League final last season
Wembley woe: Lewandowski suffered heartache the
last time he was in London as Borussia Dortmund lost to Bayern Munich in
the Champions League final
No comments:
Post a Comment