Ghana kesho watakuwa wenyeji wa Misri mjini Kumasi katika mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu kombe la dunia katika mchezo mgumu wa hatua ya mwisho ya mtoano.
Misri ndiyo yeneye rikodi nzuri ya aslimia 100% ya kufuzu michuano hiyo.
Hata hivyo bado kuna wasiwasi juu ya wapi mchezo wa pili utachezwa licha ya shirikisho la soka duniani fifa kuitaka Misri kuimarisha ulinzi na kuhakikisha wanatoa taarifa za hali ya usalama kabla ya Novemb 19.
PLAY-OFF RESULTS
- Burkina Faso 3-2 Algeria
- Ethiopia 1-2 Nigeria
- Ivory Coast 3-1 Senegal
- Tunisia 0-0 Cameroon
Wakati hayo yakiwa hivyo kocha wa Ghana Kwesi Appiah atamkosa kiungo wake Kevin-Prince Boateng ambaye amekubwa na maumivu ya mguu akiwa katika klabu yake ya Schalke wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment