KOcha Mkuu wa Simba akikinowa Kikosi chake katika Kisiwa cha Marashi ya
Karafuu kwa ajili ya mechi yao na timu ya Yanga unaotarajiwa kufanyika
jumamosi 18-5-2013 mjini Dar, Kikosi hicho kikiwa kimejichimbia Kisiwani
huko na kufanya mazoezi yao katika Uwanja wa Mao Zenj.Kama
anavyoonekana akitowa mafunzo kwa kikosi chake.
No comments:
Post a Comment