KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, June 2, 2013

EXCLUSIVE: Amri Khan kuzichapa na Devon Alexander Dubai kusaka nafasi ya kucheza na mbishi Floyd Mayweather.


Defence: Alexander will put his IBF crown on the line
Historic fight: Amir Khan will take on Devon Alexander for the world welterweight title in Dubai this December

Khan kuzichapa na Devon Alexander mkanda wa dunia uzito wa welterweight mjini Dubai mwezi December

Amir Khan anatarajiwa kuzichapa na Devon Alexander kusaka mkanda wa IBF uzito wa welterweight katika pambano kubwa ambalo sio la kukosa kuangalia katika mji wa Dubai.

Endapo Khan atashinda na kuwa bingwa mara wa tatu katika pambano hilo lililopangwa kuchezwa December 7, basi atakuwa amejiweka katika nafasi ya kucheza mega-millions super-fight na mbishi Floyd Mayweather hapo baadaye

Pambano hilo limefikiwa katika makubaliano mwishoni mwa juma wakati wa harusi ya Khan iliyokuwa ikifanyika jijini New York.
 It will be the first big fight held in Dubai, once agreed, when the two rivals collide
Richard Schaefer, mtendaji mkuu wa Golden Boy, amethibtisha ‘Amir anahitaji pambano la  welterweight, lenye kuwania ubingwa ili kujitafutia nafasi ya kucheza na Floyd.

Amepata nafasi ya kucheza na Devon, ambaye amekubali kucheza. Tutaingia makubaliano ya kusaini mikataba wiki chache zijazo’

Schaefer baadaye atasafiri kuelekea Dubai mwezi ujao kuungalia uwanja utakao faa kwa pambano na kuanza maandalizi na tukio hilo la kihistoria.
Mega fight: The winner of Khan v Alexander is likely to go on to face Floyd Mayweather next spring
Mshindi wa pambano baina ya Khan v Alexander atakutana na Floyd Mayweather pichani juu.

Wedding joy: Khan tied the knot with beauty Faryal Makhmood in New York
Khan akiwa na kichuna chake Faryal Makhmood mjini New York baada ya ndoa.

No comments:

Post a Comment