Nahodha wa Yanga Shadrack Nsajikwa akipambana na Paschal Maige wa Polisi Morogoro
|
Mshambuliaji Didier Kavumbagu wa Yanga akishangilia baada ya kufunga goli la pili la Yanga katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro. |
Didier Kavumbagu akijaribu kumtoroka mlinzi wa Polisi Morogoro katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Taifa ambapo Yanga ilishinda kwa mabao 3-0. Picha zote na Rahel Pallangyor. |
No comments:
Post a Comment