Mkongwe wa Manchester City Bert Trautmann
afariki dunia akiwa na umri wa miaka 89
Bert Trautmann, mlind mlando wa kijerumani
ambaye alishinda taji la FA Cup akiwa na Manchester City 1956, amefariki dunia
akiwa na umri wa miaka 89.
Trautmann anakumbyukwa
sana kwa kuchezwa fainali kwa dakika 17 katika fainali baina ya City na Birmingham
City na baadaye kuvunjika shingo.
Alicheza zaidi
ya michezo ya 500 kuanzia mwaka 1949-64,akiwasili England kama mfungwa wa vita.
Bert Trautmann factfile
Born: 22
October 1923 in Bremen, Germany
1949: Joins
Man City from non-league St Helens Town
1956: Wins
FA Cup with City, but breaks neck 17 minutes from end of final versus
Birmingham City
1964: Ends
playing career after 545 appearances for City
2004: Made
OBE for Anglo-German reconciliation work
Trautmann, ambaye
alisumbuliwa na matatizo ya moyo mwaka karibu mara mbili amefariki dunia karibu
na mji wa Valencia nchini Hispania hii Ijumaa.
Tito Vilanova sasa basi Barcelona
Barcelona imeitisha
mkutano na waandishi wa habari huku kukiwa na taarifa kuwa kocha wake Tito
Vilanova anaelekea kujiuzulu.
Vilanova alikutwa
na kansa mwaka 2011 na kupatiwa matibabu kabla ya ugonjwa huo kujitokeza tena
mwaka uliopita.
Vilanova
mwenye umri wa miaka 44 alifanyiwa upasuaji desemba 2012 na kutumikia wiki 10 jijini
New York ambapo alifanyiwa tiba ya chemotherapy na radiotherapy kabla ya
kurejea kazini mwezi March kukitumikia kikisi chake ambacho kilitwa taji la
ligi ya Hispania.
Mkutano huo
na waandishi wa habari umeitishwa huko Nou Camp na utafanyika usiku huu.
Raia wa klabu
hiyo Sandro Rosell na mkutugenzi wa soka Andoni Zubizarreta watazungumza na
waandishi wa habari.
Vilanova alichukua
nafasi ya Pep Guardiola kama meneja June 2012, ambako kabla ya uteuzi wake
alikuwa ni msaidizi wa Pep.
Watford yasajili wachezaji saba kutoka Udinese
Watford imethibtisha
kuwasajili wachezaji saba kutoka katika klabu ya Udenise ambayo inaitwa sister
club, akiwemo nyota wa kimataifa wa Italia Diego Fabbrini.
Mshambuliaji
Fabbrini mwenye umri wa miaka 22
amesajili mpaka 2017, wakati mlinzi Gabriele
Angella amejiunga kwa mkataba wa miaka mitano.
Mwaka uliopita
viungo Almen Abdi na Cristian Battocchio walirejea kwa mkataba wa miaka mitatu
kila mmoja.
Christian Benteke aongeza mkataba na Aston Villa
Mshambuliaji
wa Aston Villa Christian Benteke ameondoa ombi lake la kutaka kuihama klabu
yake na amesaini tena mkataba utakao muweka katika klabu hiyo mpaka 2017.
Maoni Click
Well thank
goodness for that. Villa fans can be excited for the first time in a while.
I've a feeling this season is going to be amazing in its unpredictability. I'm
man utd and I say bring it on!
2. I don't
see any point in being negative. People were angry when he wanted to leave, and
now he's staying. So hooray for Villa and Lambert.
3. He's done
the right thing, a lot of players could learn by following the same route. Yes
he'll be on more money but he's earned it. One more good season, the bigger
clubs will come calling and he'll move on. At least Villa should get a good
price for him at that point.
Equatorial Guinea yaadhibiwa na fifa
Fifa imeidhibu
Equatorial Guinea kwa kumtumia mchezaji ambaye hakuwa halali kutumika katika mchezo
wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2014
dhidi ya Cape Verde.
Hiyo ina
maana kuwa Cape Verde imezawadiwa ushindi wa mabao 3-0 katika michezo yote
miwili matokeo ambayo yatawaweka katika nafasi ya kuwa na alama mbili pungufu
ya vinara wa kundi B Tunisia.
Mchezo wa
mwisho baina ya Tunisia na Cape Verde ndio utakao amua nani wa kusonga mbele
katika hatua ya mwisho ya hatua ya play-offs.
Kundi B
baada ya alama mpya za mezani Tunisia
11 Pts
Cape Verde 9 Pts
Sierra Leone 5 Pts
Eq Guinea 2 Pts.
FIFA YATANGAZA VIINGILIO VYA MICHEZO YA KOMBE LA DUNIA.
Bei ya tiketi kwa mashabiki wa
kutoka nje ya nchi ya Brazil watakao hudhuria michezo ya kombe la dunia nchini
Brazil zitaanza kuuzwa kwa gharama ya dolari $90 (£59, 69 euros) kwa michezo ya
hatua ya makundi.
Bodi ya utawala ya FIFA imetangaza
kuwa tiketi ya bei rahisi kwa mashabiki wan je ya nchi mchezo wa fainali July 13
ilikuwa $440 (£288) nay a gaharama ya juu itakuwa $990 (£650).
Michuano itaanza June 12 na mchezo
wa mwisho utacheza Sao Paulo.
Tiketi zitaanza kuuzwa kuanzia August
20.
Mashabiki watakuwa wakituma maombi
mpaka Oktoba 10
World Cup ticket prices (overseas fans)
|
|||
Matches
|
Category
1
|
Category
2
|
Category
3
|
Source: Fifa.
|
|||
Opening Match
|
$495
|
$330
|
$220
|
Group Matches
|
$175
|
$135
|
$90
|
Round of 16
|
$220
|
$165
|
$110
|
Quarter Finals
|
$330
|
$220
|
$165
|
Semi Finals
|
$660
|
$440
|
$275
|
3rd / 4th Place Match
|
$330
|
$220
|
$165
|
Final
|
$990
|
$660
|
$440
|
No comments:
Post a Comment